Nina Milioni 2.3 nahitaji kuongeza mtaji wa vifaa vya simu

godlove5

Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
32
Reaction score
13
Nina 2.3 ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza hata kwa jumla.

Naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwahiyo pesa
 

Upo wapi kiongozi?
 
Unaweza kunielewesha msigo uo naweza kupata wakutosha kwaiyo ela na nikajaza ofs
Hiyo hela ukija nayo hapa Kariakoo, unarudi na mzigo ambao ukiuza wote unapata faida kubwa mno... Mi pia naungana na huyo mdau alokushauri uje ununue mzigo Kariakoo
 
Hiyo hela ukija nayo hapa kariakoo, unarud na mzigo ambao ukiuza wote unapata faida kubwa mno... Mi pia naungana na huyo mdau alokushauri uje ununue mzigo kariakoo

Asante asa kama kunamtu yupo anaweza niconet na watu wanaojumlisha bizaa izo atakuwa amensaidia sana
 
Fungua bakery.
 
Asante asa kama kunamtu yupo anaweza niconet na watu wanaojumlisha bizaa izo atakuwa amensaidia sana
Acha uvivu na uzembe ukija kariakoo maduka utayajua we unakuwa mfanyabiashara harafu unakuwa sio mjanja, unataka kila kitu ulainishiwe utaibiwa au kuuawa hiyo hela si ndogo kama watu wanakufa kwa bodaboda, acha kuuliza sana njoo unauliza duka la jumla la kitu furani,mwisho wa siku utajua ila ukiuliza sana unatengeneza mazingira ya kuibiwa.
 
Ukihitaji bidhaa mbalimbali kutoka Dubai utanicheki.
Whatsapp:+971527794329
 

Asante
 
Hiv ni kweli hupajui kwa kujumua mzigo au unatutega ....anyway nenda Tandale kwa mtogole utanishukuru baadae
 
Sorry boss , naomba unisaidie no yko nina wazo la kuanzisha iyo ya kuuza accesories za simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…