Nina Milioni 2.3 nahitaji kuongeza mtaji wa vifaa vya simu

Nina Milioni 2.3 nahitaji kuongeza mtaji wa vifaa vya simu

skia hyo hela tafta chimbo la starehe kula maisha zikikata hzo m2 nenda katafte zingine uendelee lula maisha
 
Nina 2.3 ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza hata kwa jumla.

Naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwahiyo pesa
Njoo k.koo Mtaa wa Agrey,yani maduka ni mengi sana na wengi diku hizi tunauza jumla jumla.njoo ufanye research kwanza mwenyew.
 
Back
Top Bottom