Vijana MNA mbwembwe kama mmejenga maudhui kaka hapo juu ya kujenga nyumba ya 20M imefahamika ila tu watu kujitia ujuaji tu , tuanze hapa
1.msingi Tofari 3000
2. Kuta tofari. 8000 na kwa cement msingi tu mifuko 15 ukuta tope
3.rentersmifuko 15 na roller 9 za nondo 14mm kuzunguka nyumba yote na kumalizia kozi kadhaa pale juu iwe Futi 12 hivi
4.mbao za kawaida atapaka oili chafu mwenyewe Kench..200....na papi....150. Koa na bangil zake ,misumari ya kench nch 5 , na nch 4 then ya bati........
5.BATI LA kwaida LA 16000 gauge 30 ft 10 kadhaaa na na futi 8 na kofia sake
6. Dril za nadirisha jumla madirisha ma 5 ya futi 5x4 kadirio kama 70,000-110,000
7. Milango 2 top na drill zake kila moja @ 230,000
Milango ya vyumbani 4@ 180,000
8. Plasta chumba kimoja mifuko 8 saruji@15,000 Mara 4 ongeza sebure choo na jiko 18 saruji
9.gypsum au chokaa ukutani bei rahisi chokaa mifuko 20 nyumba yote bei @ 6000---10000/=
10. Chapia msingi mifuko 10 saruji
11. Fundi to a mkoani wa 1M kujenga kupaua 700,000, plasta 700,000/
12.choo shimo kuchimba 300,000 tafuta vijana wa mkoani watachimba ft 30 kwa dar kichanga tu hicho
13. Jengea na kufunika 700000
13/mifuko ya majitaka choo na jikon n.k
1000,000/
*Brother unaweza tu ila unite nikusimamie mwenyewe nimejenga ila block nilifyatua mwenyewe, mbao nilinunua kijijini mbeya kecnhi moja @3000 papi@1500 nikasafirisha niliokoa kiasi kibwa saana fundi ujenzi nilimtoa huko huko naishi kama nna hela kumbe bans bajeti wasikutishe *
Pia msipende kujibu maswali kiurahisi ili uonekane wewe ni mtu wa maana kwa sababu unampa mtu moyo.
Sometimes mtu inatakiwa aondolewe kutoka fikra fulani kabla ya kuanza project yake.
Kwa mfano, mleta mada ni vizuri akishauriwa kuwa nyumba vyumba vitatu haielezi nini unachohitaji.
Angeleta ramani, au akaelezea size ya vyumba etc...
La sivyo tutakuwa tunajibishana tu, unaweza, huwezi, unaweza, huwezi ... kwa siku kumi. No description.