Hizo ni pesa nyingi sana na ni pesa ndogo sana. Inategemea. Kama unapenda kilimo, sikuhizi kilimo ni biashara siyo kama zamani. Kwa pesa hiyo utaweza pata eneo na ili upate mfumo wa umwagiliaji maji, mahindi ya kuchuma yanafaida kubwa kwani utalima kwa mwaka mara 6 na kila ekari moja itakupatia mahindi elfu 28 mgegu ya mahindi mawili mawili.
Kama unapenda uana zuoni hizo unaweza kuanzisha shule ya msingi au sekondari. Sheria ya kuanzisha shule tanzania inataka uwe walau una minimum ya ekari 3, ujenge madarasa 3. maktaba, maabara na toilets pamoja na ofisi za walimu. Ukiweka walimu wazuri chukuwa kila darasa wanafunzi 35 wakulipe milioni 2 kwa mwaka ukiwa na Streams A na B utakusanya mil 75 kwa mwaka gharama za uendeshaji bila kujali kuwekeza upya, {madarasa mapya} haitazidi asilimia 35. shule kodi nyingi ni msamaha. Nipe mimi dola 5000 Nikuandikie mchanganuo na nitakusaidia hadi kusajili shule. Au twanga +255 718 194606