nina milioni 200



Una akili wewe!!!!!!!! kuna watu humu hawawezi tulia mpaka wamponde mtu. GT nadhani kuna wengine na utoto pia unatawala.
 

Mpaka hapo ameshabakiwa na 185M, Bado Ma-Consultant, Architects, constructors, brokers, na makorokoro kibao-Bongo mjini dada, wakishajua unapesa na hauna ujualo kuhusu hiyo "deal" wanakugeuza "deal"! pesa zitaisha ubaki na matofali tu! M200 ni pesa kidogo sana, fikiria kabla ya kutenda: unaweza ukapoteza kila kitu na miaka yote uliyotoil kuipata hiyo senti ikawa BUREEEE!

Kama unaweza KILIMO NA UFUGAJI inalipa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…