MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
idea 1
nakushauri anzisha biashara ya kukopesha watu, weka riba ya 10% kila mwezi. kuna watu wengi wanataka mikopo midogo midogo hawapati. ila zingatia yafuatayo:
kuna mtu kaanza biashara hii kwa mtaji wa milioni moja miezi 5 iliyopita na kwa sasa mtaji umeongezeka na kufikia 4. kwa hiyo jamani kila kitu kinawezekana
- kopesha mtu baada ya kujiridhisha anaenda kufanyia kitu kitakachozalisha
- mkopaji awe na mdhamini
- mkopaji aweke rehani kitu fulani
idea 2:
kama una eneo la kufugia, fuga kuku wa mayai uone faida zake. mnyumbulisho ni kama ifuatavyo:
gharama hizi ni kabla ya kuku kuanza kutaga
- Banda la kuku (tumia vifaa used e,g,. mabati, mbao, wires)= 500,000
- Vifaranga 100 kila kimoja 2300 = 230,000
- Chakula (0.12kg kila siku kwa kuku *180 days kabla kuanza kutaga )/50kg*100kuku xTsh. 33,000 kwa mfuko=1,425,600
- dawa mbalimbali (chanjo, antibiotics, vitamins and minerals)= 70,000
- salary ya mfanyakazi = 50,000* miezi 6 =300,000
- utilities (maji, umeme/mkaa/mafuta ya taa) = 50,000*miezi 6 = 300,000
- mengineyo = 174,400
- Jumla = 3,000,000
mapato
idea 3
- kuku asilimia 75 watataga kila siku hivyo kuwa na tray 2.5. tray moja kwa dar ni Tsh 5,500. kwa siku utapata 2.5*5,500=13,750 na mwezi inakuwa 412,500/Tsh
- mbolea kwa mwezi unaweza kupata kama 5,000
- jumla ya mapato kwa mwezi 417,500
- matumizi kuku wakiwa wanataga ni nusu ya mapato , hivyo faida kwa mwezi ni 208,750
- faida kwa mwaka ni 208,750*12 = 2.5m
- kumbuka ili kufanya biashara hii zingatia misingi ya ufugaji bora ili kuzuia vifo. pia weka kumbukumbu vizuri kijana asikuibie
Idea 4
- anzisha biashara ya kuuza mazao, unakusanya vijijini na kuja kuuza mjini
- Nunua hisa za precision Air
- [TABLE="width: 24"]
[TR]
[TD="width: 64, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Good...stay focused and determined mkuu, u shall achive.