Nina milioni 3(tsh) nianzishe mradi gani

Good...stay focused and determined mkuu, u shall achive.
 
Umenkosha sana kaka ubarikwe kokote ulipo
 
Mkuu nipe hapa naenda kulimia alafu nakupa 25% faida nikishavuna, mim ndo kazi yangu hii kuna watu wananipa hela na nawapa 25% faida. nina wadhamini na tunaenda kuandikishana kwenye chombo kinachofahamika kisheria. nipm mkuu tafadhali
 
mkuu hiyo post ina miaka mitatu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…