Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Benki wana product mbali mbali paka uchunguze benki ipi ina product ipi zuri kwasasa kwa nyumba Barclays walikua wazuri walikua wanatoa riba yao kila mwezi na pesa ilikua nzuri tu ila kwasasa sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nunua fuso tipper uwe unabeba kokoto na michanga kama unakomaa mwenyewe una uhakika wa kuingiza laki2 kila siku hapo ushakula mchana ushafanya vurugu zote so unakuwa unaamua tu,,
labda hesabu unajiwekea laki na 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…