Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Habari za asubuh wanajanvi
Baishara zote ni nzuri ila mazingira yake ndo yanakuwa changamoto
Biashara ya gari kama huna gari zaidi ya 4 achana nayo
Kwa nini?
Gari mbili zikizingua zilizobaki zina backup
Nakupa wazo 1 ila lina sehem 2
1.biashara ya duka

1.a duka la reja reja kwa usasa
Yaani super market.weleza nusu ya hiyo pesa tafuta designer mzuri wa kupanga hasa mdada aliendae wai ajiliwa kwenye super market akupangie vizuri.funga security camera na pesa iliyobaki itabackup mzigo mwingine ambao hauna. Kumbuka kwa sasa watu wengi wanapenda nunua vitu super market au min market.
1.b fungua hardware ila chakua kundi kati ya general hardware.kuuza mabomba au vifaa vya umeme au uza vyote. Haya madude hayana expire date hayana matengenezo kama gari zako ni ww na Tra na leseni ya biashara kinabaki mahusiano na mafundi unawapa tip anakuletea wateja

Thanks
Fikiria chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nayo dereva akaenda kuipiga chini kisarawe nikauza bei ya screpa sijawahi kula hata kumi yake zaidi ya kuugulia maumivu heri ningejenga nyumba nikaiona
[/QUO
Ulitakiwa kutambua uzembe wako kwanini ukulikatia bima hilo gari ili uweze kulipwa lilipopata ajali?
 
Habari za asubuh wanajanvi
Baishara zote ni nzuri ila mazingira yake ndo yanakuwa changamoto
Biashara ya gari kama huna gari zaidi ya 4 achana nayo
Kwa nini?
Gari mbili zikizingua zilizobaki zina backup
Nakupa wazo 1 ila lina sehem 2
1.biashara ya duka

1.a duka la reja reja kwa usasa
Yaani super market.weleza nusu ya hiyo pesa tafuta designer mzuri wa kupanga hasa mdada aliendae wai ajiliwa kwenye super market akupangie vizuri.funga security camera na pesa iliyobaki itabackup mzigo mwingine ambao hauna. Kumbuka kwa sasa watu wengi wanapenda nunua vitu super market au min market.
1.b fungua hardware ila chakua kundi kati ya general hardware.kuuza mabomba au vifaa vya umeme au uza vyote. Haya madude hayana expire date hayana matengenezo kama gari zako ni ww na Tra na leseni ya biashara kinabaki mahusiano na mafundi unawapa tip anakuletea wateja

Thanks
Fikiria chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inabidi nitafute uwanja makazi mapya nijenge Yangu na mafrem kisha moja ya frem zangu nifungue hardware
 
Niseme ukweli kiuhalisia kBs na decade hii hyo ni biashara KICHAA!...uweke mpunga kutoka may au june uje uuze sijui dec...umeizika sehem tu hela yako!...km makosa tufanye zaman sio sasa!

Alafu sio kwel..kilikua kipindi cha Jk kuzaa shilingi sio miaka hii mkuu!...
Hizi biashara za namna hii kwakwel tuanze kujitafakari upya..mie naona km hasara zaidi!..yaan uweke 20m uje upate 25m kwa 6mths! Hapana!
Hili ni wazo langu mm!
Hapo ujagusia kupigwa pepe makapi
 
chukua milion 14 nunua bajaji 2 hizi weka vijana makini ziwe zinakulea inayobaki kalime parachichi njombe baada ya miaka 3 utafurahi unapiga kila siku
Ya parachichi na kupanda miti iko kwenye target pia kama next project baada ya first project ikienda safi.
 
B
Basi nunua Bus kwa TATA itakuwa ngumu. Ama nunua hilo trekta kisha limia watu mashamba yao nayo ni nzuri pia.
Bus lipi isiwe used bongo lkn,
Target ya trekta ni kulima mwaka mzima kwa mvua na umwagiliaji jirani na mito
 
Ushauri Wangu

1. Kama una nia na shamba, ingia kwanza huko Morogoro au Manyara Kodi Tractor Kwanza hata miezi 6 usome upepo.

2. Pili, Kwanini usifanye biashara ya wholesaling hata kwa bidhaa 2 au 3.

( Chagua bidhaa zako, Nunua Kigari Cha Usambazaji. Agiza viwandani mzigo ( unaweza kuubrand uwezavyo ) then, sambaza.

3. Jenga Dispensary kwenye kimji promising kinachokua ili wasikiilize wanaojua ( usijifanye wewe ndio kila kitu )
Kwa trekta kujilimia plus kuwalimia wengine nazungumzia kulima si chini ya ekari 500 hadi 1000 kwa msimu mazao yenye low risk mfano kunde,alizeti,mtama
 
Taja bei ikiwa hvyo, bila jembe, na jembe na tela 'options" zote, mwanangu inadi pia sifa zake kwa nini tusifikiri nyingne iwe aina hyo tu.
Nawazia mwaka mmoja nijchange nibebe moja
Case tractor ni nzuri japo kwa wakulima hazijabrand Sana wamezoea Massey,ford
 
Habari za asubuh wanajanvi
Baishara zote ni nzuri ila mazingira yake ndo yanakuwa changamoto
Biashara ya gari kama huna gari zaidi ya 4 achana nayo
Kwa nini?
Gari mbili zikizingua zilizobaki zina backup
Nakupa wazo 1 ila lina sehem 2
1.biashara ya duka

1.a duka la reja reja kwa usasa
Yaani super market.weleza nusu ya hiyo pesa tafuta designer mzuri wa kupanga hasa mdada aliendae wai ajiliwa kwenye super market akupangie vizuri.funga security camera na pesa iliyobaki itabackup mzigo mwingine ambao hauna. Kumbuka kwa sasa watu wengi wanapenda nunua vitu super market au min market.
1.b fungua hardware ila chakua kundi kati ya general hardware.kuuza mabomba au vifaa vya umeme au uza vyote. Haya madude hayana expire date hayana matengenezo kama gari zako ni ww na Tra na leseni ya biashara kinabaki mahusiano na mafundi unawapa tip anakuletea wateja

Thanks
Fikiria chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu..hakuna mtu anaenzaga na gari moja au mwenye gari moja ??? Mpaka 4??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee we chalii umenichekesha msibani
Screenshot_20200111-130726.png
saizi tungekuwa tuko kwa mhindi tunachukua 90m yetu.
 
Back
Top Bottom