Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nayo dereva akaenda kuipiga chini kisarawe nikauza bei ya screpa sijawahi kula hata kumi yake zaidi ya kuugulia maumivu heri ningejenga nyumba nikaiona
[/QUO
Ulitakiwa kutambua uzembe wako kwanini ukulikatia bima hilo gari ili uweze kulipwa lilipopata ajali?
Nimezichimbia hata wazitafute kwa torch awatozipataNakukumbusha zikifika 50 ,lazima uhojiwe wapi umezitoa jipange kwahilo ,usije jikanyaga ikaonyesha ni za loundering kumbe hapana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inabidi nitafute uwanja makazi mapya nijenge Yangu na mafrem kisha moja ya frem zangu nifungue hardwareHabari za asubuh wanajanvi
Baishara zote ni nzuri ila mazingira yake ndo yanakuwa changamoto
Biashara ya gari kama huna gari zaidi ya 4 achana nayo
Kwa nini?
Gari mbili zikizingua zilizobaki zina backup
Nakupa wazo 1 ila lina sehem 2
1.biashara ya duka
1.a duka la reja reja kwa usasa
Yaani super market.weleza nusu ya hiyo pesa tafuta designer mzuri wa kupanga hasa mdada aliendae wai ajiliwa kwenye super market akupangie vizuri.funga security camera na pesa iliyobaki itabackup mzigo mwingine ambao hauna. Kumbuka kwa sasa watu wengi wanapenda nunua vitu super market au min market.
1.b fungua hardware ila chakua kundi kati ya general hardware.kuuza mabomba au vifaa vya umeme au uza vyote. Haya madude hayana expire date hayana matengenezo kama gari zako ni ww na Tra na leseni ya biashara kinabaki mahusiano na mafundi unawapa tip anakuletea wateja
Thanks
Fikiria chukua hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Natarajia
Aisee we chalii umenichekesha msibaniMkuu tubet hapo tutafute tu team moja yenye odds walau 2. Kama leo Sheffield United anacheza na Westham United pale Bramall Lane lazima Sheffield washinde.
Kesho asubuhi unaamka na 90million, no stress.
Hapo ujagusia kupigwa pepe makapiNiseme ukweli kiuhalisia kBs na decade hii hyo ni biashara KICHAA!...uweke mpunga kutoka may au june uje uuze sijui dec...umeizika sehem tu hela yako!...km makosa tufanye zaman sio sasa!
Alafu sio kwel..kilikua kipindi cha Jk kuzaa shilingi sio miaka hii mkuu!...
Hizi biashara za namna hii kwakwel tuanze kujitafakari upya..mie naona km hasara zaidi!..yaan uweke 20m uje upate 25m kwa 6mths! Hapana!
Hili ni wazo langu mm!
Ya parachichi na kupanda miti iko kwenye target pia kama next project baada ya first project ikienda safi.chukua milion 14 nunua bajaji 2 hizi weka vijana makini ziwe zinakulea inayobaki kalime parachichi njombe baada ya miaka 3 utafurahi unapiga kila siku
Bus lipi isiwe used bongo lkn,Basi nunua Bus kwa TATA itakuwa ngumu. Ama nunua hilo trekta kisha limia watu mashamba yao nayo ni nzuri pia.
Kwa trekta kujilimia plus kuwalimia wengine nazungumzia kulima si chini ya ekari 500 hadi 1000 kwa msimu mazao yenye low risk mfano kunde,alizeti,mtamaUshauri Wangu
1. Kama una nia na shamba, ingia kwanza huko Morogoro au Manyara Kodi Tractor Kwanza hata miezi 6 usome upepo.
2. Pili, Kwanini usifanye biashara ya wholesaling hata kwa bidhaa 2 au 3.
( Chagua bidhaa zako, Nunua Kigari Cha Usambazaji. Agiza viwandani mzigo ( unaweza kuubrand uwezavyo ) then, sambaza.
3. Jenga Dispensary kwenye kimji promising kinachokua ili wasikiilize wanaojua ( usijifanye wewe ndio kila kitu )
Case tractor ni nzuri japo kwa wakulima hazijabrand Sana wamezoea Massey,fordTaja bei ikiwa hvyo, bila jembe, na jembe na tela 'options" zote, mwanangu inadi pia sifa zake kwa nini tusifikiri nyingne iwe aina hyo tu.
Nawazia mwaka mmoja nijchange nibebe moja
Kwahiyo mkuu..hakuna mtu anaenzaga na gari moja au mwenye gari moja ??? Mpaka 4??Habari za asubuh wanajanvi
Baishara zote ni nzuri ila mazingira yake ndo yanakuwa changamoto
Biashara ya gari kama huna gari zaidi ya 4 achana nayo
Kwa nini?
Gari mbili zikizingua zilizobaki zina backup
Nakupa wazo 1 ila lina sehem 2
1.biashara ya duka
1.a duka la reja reja kwa usasa
Yaani super market.weleza nusu ya hiyo pesa tafuta designer mzuri wa kupanga hasa mdada aliendae wai ajiliwa kwenye super market akupangie vizuri.funga security camera na pesa iliyobaki itabackup mzigo mwingine ambao hauna. Kumbuka kwa sasa watu wengi wanapenda nunua vitu super market au min market.
1.b fungua hardware ila chakua kundi kati ya general hardware.kuuza mabomba au vifaa vya umeme au uza vyote. Haya madude hayana expire date hayana matengenezo kama gari zako ni ww na Tra na leseni ya biashara kinabaki mahusiano na mafundi unawapa tip anakuletea wateja
Thanks
Fikiria chukua hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee we chalii umenichekesha msibani
Hapa si panatakiwa uzoefu kwenye manunuzi ya mpunga nisijeuziwapepe
kivipi MkuuNakukumbusha zikifika 50 ,lazima uhojiwe wapi umezitoa jipange kwahilo ,usije jikanyaga ikaonyesha ni za loundering kumbe hapana.
Sent using Jamii Forums mobile app