Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Hao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Eti unawasha unaondoka, Kuagiza gari ingekuwa rahisi hivyo mbona Bongo pangekuwa na foleni kila kona.Hiyo hela tafuta gari iliyotumika..lakini kama ni kuagiza ongeza mil 3.5.. Unapokea bandarini, unawasha unaondoka
anamaanisha 8.3, anawezapata kaVITZ ka 1999Eti unawasha unaondoka, Kuagiza gari ingekuwa rahisi hivyo mbona Bongo pangekuwa na foleni kila kona.
huyu anayekuuzia si anapiga gharama zake zote unafuu uko wapiBora nunua ndani kuliko kuagiza
😀😀😀😀😱Nissan Duet? Naona hii labda wajapan ndo wamevumbua 2017 hii. Sijapata kuisikia. Ndo ww unatangazia ulimwengu kwa mara ya kwanza.
Endelea kuzichanga angalau zifike 10mil, utaagiza na utalipia ushuru na utaweka bima na kubadili oil angalau. Hiyo milioni 5 ni ushuru tu wa magari kama Spacio, Allex na Premio/Allion. Na nyingine zipo juu.Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
ila kodi za bandarini pamoja na za TRA hazijashuka bei mkuu![emoji1]Magari yameshashuka bei
Thanks broHao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.
Kama unataka gari used be forward ni wazuri ingia utakutana na magari mengi yenye bei tofauti,chagua gari kabla hujalipia nenda tra watakufanyia makadirio ndipo utakapoa amua.
Binafsi nilifanya hivyo na ilinichukua mwezi tu nikaipokea gari yangu
Sio zote ni 10mMil 10??