Nina milioni tano nataka kuagiza gari Japan

Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???

Msaada ndugu wenye uzoefu.
Hao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.

Kama unataka gari used be forward ni wazuri ingia utakutana na magari mengi yenye bei tofauti,chagua gari kabla hujalipia nenda tra watakufanyia makadirio ndipo utakapoa amua.

Binafsi nilifanya hivyo na ilinichukua mwezi tu nikaipokea gari yangu
 
Hiyo hela tafuta gari iliyotumika..lakini kama ni kuagiza ongeza mil 3.5.. Unapokea bandarini, unawasha unaondoka
 
Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???

Msaada ndugu wenye uzoefu.
Endelea kuzichanga angalau zifike 10mil, utaagiza na utalipia ushuru na utaweka bima na kubadili oil angalau. Hiyo milioni 5 ni ushuru tu wa magari kama Spacio, Allex na Premio/Allion. Na nyingine zipo juu.
 
Nunua gari hapo hapo Dar au Znz unapata, ukiagiza kutoka nje uweke zaidi ya mil 6 nyengine au zaidi
 
We mbona mademu wengi sana unaonaje hizo chenji zako ukahonga tu
 
Hao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.

Kama unataka gari used be forward ni wazuri ingia utakutana na magari mengi yenye bei tofauti,chagua gari kabla hujalipia nenda tra watakufanyia makadirio ndipo utakapoa amua.

Binafsi nilifanya hivyo na ilinichukua mwezi tu nikaipokea gari yangu
Thanks bro
 
Back
Top Bottom