Uhm,Kuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
[emoji1]hv haya magari yanayouzwa US$20(ishirini) beforward hadi kuichukua bandarin ina gharimu kiasi gani
[emoji23]Kwa hela hiyo nakushauri wasiliana na wachina wakutafutie TOYO.
Ya mwaka gani?Mimi ninataka gari aina ya Alfad kutoka japani niambieni ni kiasi gani?
Hahah,bora ubet tu. pesa ndogo hiyo bado kodi ya tra
Hivi ni nissan duet?? 4Kuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
Kwa uchumi upi sasa? Unajua USD 1 ni sawa na TSHS ngapi za madafu? au unafikiri magari yanauzwa kwa TSHS huko ugaibuni?na unajua TRA wanachaji vipi kodi?Magari yameshashuka bei
Uyo dalali tuWewe uko toyotajapani au?
Haha hata mm najiulizaga sana ilo swalihv haya magari yanayouzwa US$20(ishirini) beforward hadi kuichukua bandarin ina gharimu kiasi gani
duet ni toyota..Kuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
Kwa milioni tano!?Hao wanakwambia uwatafute kwa namba zao za simu kuwa nao makini utalizwa.
Kama unataka gari used be forward ni wazuri ingia utakutana na magari mengi yenye bei tofauti,chagua gari kabla hujalipia nenda tra watakufanyia makadirio ndipo utakapoa amua.
Binafsi nilifanya hivyo na ilinichukua mwezi tu nikaipokea gari yangu
Agiza MITSUBISHI AIRTREK.Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Bora alipe Kodi kwanzaKodi yenyewe ya tra si chini ya MIL. Kumi