Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Tafuta ardhi ya isiyopungua ekari 10, Chimba kisima cha maji ili uwe na uhakika wa maji,jenga na kijumba cha kidogo cha kufikia au vibarua,anzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji cha mbogamboga na ufugaji wa kuku wa kienyeji (anza na kuku 100).
Uzuri wa miradi ya kilimo na ufugaji hakuna cha kulipia kodi
Uzuri wa miradi ya kilimo na ufugaji hakuna cha kulipia kodi