Nina million 23 nataka Gari

Nina million 23 nataka Gari

Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Be specific unataka kuImport from Japan ama unaingia showroom Incase ukimport wakala wa forodha nipo hapa kwa gharama nafuu na haraka..
 
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Options mbili tu izo?

Mi nitasema Crown.

Ila kama options zaidi unapokea ushauri, izo zote sio gari kwa mtu alietafuta hela kwa tabu.
 
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Hiyo labda uwaze bajaji...

...Ni Hayo tu!!!
 
I don't understand
Kwanini unatafuta hela sana ili ununue gari ambalo litahitaji litumie pesa ili liendelee kuwepo barabarani.

I mean kwa kusema pesa umeitafuta sana means hauna cash flow ambayo ni stable
 
Gari n kwa ajili ya safari zako na za familia hapo suala la uwekezaje unakua umeshavuka had unanunua gari
 
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Njoo nikuuzie 2011 BMW 3 series LC. Ipo vizuri sana
 
Back
Top Bottom