Nina million 23 nataka Gari

Nina million 23 nataka Gari

I don't understand
Kwanini unatafuta hela sana ili ununue gari ambalo litahitaji litumie pesa ili liendelee kuwepo barabarani.

I mean kwa kusema pesa umeitafuta sana means hauna cash flow ambayo ni stable
Ninayo maana mimi nimeajiriwa ila kupata 23m kwa mkupuo ilikua ni ngumu so nilijibana bana saana ndo nikaipata
 
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Kama ndiyo gari ya kwanza na hiyo hela umeitafuta sana (kama mwenyewe unavyodai) ili uendeshe gari, just nunua gari itakayokufanya ufurahie gari yako. IST na mfano wake itakutosha na usinunue mkononi mwa mtu huko bongo.
 
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Achana na majini hayo tafuta Mitsubishi Outlander SUV
 
Honda ipi?
Point yangu angetafuta gari ambalo liko friendly kwenye mafuta, pia reliable na maintenance isiwe kipengele.

Aangalie issue ya usalama, na technology.

Katika mil 23 angetumia only 18-20 kutafuta gari zuri na if possible aagize mwenyewe.

Brands kama Toyota na Honda, zitampa magari mazuri zaidi.

Akipata hybrid atafurahi zaidi.
 
Toyota zq million 16-20 zinajulikana
Camly
Crown
Escodo new model
Killtime
Premio
Fielder
Alphard
Harrier old model
Wish
Nk
 
Kama hela umeitafuta kwa manati hivyo alafu unataka magari hayo vichomi? We hapo nakushauri chukua kati ya toyota voltz, honda crossroad au suzuki escudo new model utabakiza hata chenji za kuanzia service
 
Back
Top Bottom