The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Asante sana mkuuSafi sana
Hongera kwa kuelekea kutimiza lengo.
Mwanzo mzuri wa mwaka 2025
Be specific unataka kuImport from Japan ama unaingia showroom Incase ukimport wakala wa forodha nipo hapa kwa gharama nafuu na haraka..Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Options mbili tu izo?Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Hiyo labda uwaze bajaji...Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Hongera sana kwa kupambana mwenyezi Mungu akuongoze upate gari nzuriWakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Gari n kwa ajili ya safari zako na za familia hapo suala la uwekezaje unakua umeshavuka had unanunua gariI don't understand
Kwanini unatafuta hela sana ili ununue gari ambalo litahitaji litumie pesa ili liendelee kuwepo barabarani.
I mean kwa kusema pesa umeitafuta sana means hauna cash flow ambayo ni stable
Itakua hujanielewa vizuri nilichoandikaGari n kwa ajili ya safari zako na za familia hapo suala la uwekezaje unakua umeshavuka had unanunua gari
Ye anataka ilimradi tu awe na gariOptions mbili tu izo?
Mi nitasema Crown.
Ila kama options zaidi unapokea ushauri, izo zote sio gari kwa mtu alietafuta hela kwa tabu.
Kwa nini unasema hvo?Options mbili tu izo?
Mi nitasema Crown.
Ila kama options zaidi unapokea ushauri, izo zote sio gari kwa mtu alietafuta hela kwa tabu.
Njoo nikuuzie 2011 BMW 3 series LC. Ipo vizuri sanaWakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu