The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
- Thread starter
-
- #21
Ninayo maana mimi nimeajiriwa ila kupata 23m kwa mkupuo ilikua ni ngumu so nilijibana bana saana ndo nikaipataI don't understand
Kwanini unatafuta hela sana ili ununue gari ambalo litahitaji litumie pesa ili liendelee kuwepo barabarani.
I mean kwa kusema pesa umeitafuta sana means hauna cash flow ambayo ni stable
Nimeelewa bruvNinayo maana mimi nimeajiriwa ila kupata 23m kwa mkupuo ilikua ni ngumu so nilijibana bana saana ndo nikaipata
Plate namba inasoma D, E,au B ?Njoo nikuuzie 2011 BMW 3 series LC. Ipo vizuri sana
D. Lkn hali ya gari overall ni above average. Vitu vingi vya msingi ni vipya ukilinganisha na gari yenye E. Utunzaji na serivice ya hali ya juuPlate namba inasoma D, E,au B ?
Engine ,gearBox hazijawahi guswa? Shockup ?D. Lkn hali ya gari overall ni above average. Vitu vingi vya msingi ni vipya ukilinganisha na gari yenye E. Utunzaji na serivice ya hali ya juu
Word!!Kama una mil 23 na hauna nyingine, usinunue gari
Unamaanisha nini mkuu?Engine ,gearBox hazijawahi guswa? Shockup ?
Toa option mkuu😂Options mbili tu izo?
Mi nitasema Crown.
Ila kama options zaidi unapokea ushauri, izo zote sio gari kwa mtu alietafuta hela kwa tabu.
Kwa Taste ya kijana, mawazo yangu atakataa.Toa option mkuu😂
Honda ipi?Kwa Taste ya kijana, mawazo yangu atakataa.
Anaonekana anataka Sedan flani Sporty. Sasa me nikimletea story za Honda ataelewa kweli?
Kama ndiyo gari ya kwanza na hiyo hela umeitafuta sana (kama mwenyewe unavyodai) ili uendeshe gari, just nunua gari itakayokufanya ufurahie gari yako. IST na mfano wake itakutosha na usinunue mkononi mwa mtu huko bongo.Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Achana na majini hayo tafuta Mitsubishi Outlander SUVWakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Point yangu angetafuta gari ambalo liko friendly kwenye mafuta, pia reliable na maintenance isiwe kipengele.Honda ipi?
Toyota zq million 16-20 zinajulikanaPoint yangu angetafuta gari ambalo liko friendly kwenye mafuta, pia reliable na maintenance isiwe kipengele.
Aangalie issue ya usalama, na technology.
Katika mil 23 angetumia only 18-20 kutafuta gari zuri na if possible aagize mwenyewe.
Brands kama Toyota na Honda, zitampa magari mazuri zaidi.
Akipata hybrid atafurahi zaidi.