Wakazi wa Pwana na hasa wadau walio wekeza pembezoni mwa mto rufiji pamoja na mto ruvu. Naombeni msaada wenu, ni kijiji gani, kata gani nitaweza kuwekeza milioni 30 katika kilimo cha umwagiliagi pamoja na kuanzisha shamba la mifugo.
Naomba unifahamishe changamoto za wakazi, mawasiliano ya barabara, ardhi inafaa kwa kilimo cha zao lipi NK
Natanguliza Shukrani.