Nina Million 30, Napenda kuwekeza pembezoni mwa mto Rufiji au Ruvu. Naomba msaada kwa ninayo wauliza

Nina Million 30, Napenda kuwekeza pembezoni mwa mto Rufiji au Ruvu. Naomba msaada kwa ninayo wauliza

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Wakazi wa Pwana na hasa wadau walio wekeza pembezoni mwa mto rufiji pamoja na mto ruvu. Naombeni msaada wenu, ni kijiji gani, kata gani nitaweza kuwekeza milioni 30 katika kilimo cha umwagiliagi pamoja na kuanzisha shamba la mifugo.
Naomba unifahamishe changamoto za wakazi, mawasiliano ya barabara, ardhi inafaa kwa kilimo cha zao lipi NK
Natanguliza Shukrani.
 
Ni vyema ukajipa nafasi mwenyewe ukaenda kujifanyia utafiti.
Kuna vijiji vingi sana pwani. Ni vyema nivielewe vichache ili nichague angalau 10 nikafanye utafiti.
Nashukuru wadau walio ni PM.
 
ni PM nikupe busines plan kama uko tayar
 
ni PM nikupe busines plan kama uko tayar
Sodoka, hii pesa sijakopa wala kupewa. Hii ni pesa yangu toka kwenye biashara zangu. Nimependa kufanya kitu ambacho siku nyingi imekuwa katika ndoto zangu. Napenda sana kufanya ufugaji. Ukiachilia faida katika mapato yatokanayo na mifugo, mimi nimezaliwa na jamii ya wafugaji huko usandawe. Nimeona nikifanya kitu ambacho nakipenda, nitafanikiwa.
 
Back
Top Bottom