Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used.
1. Naishi mjini full rami (dsm)
2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return
3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba
4. Kipato naweza tumia mpka 250k kwaajili ya mafuta, bajeti zangu.
Nishaurini, nimewazia, Swift, Brevis, Alteza je mnashauri ipi.
USISHAURI NIFANYIE BIASHARA PESA, FANYA WEWE SIE WENGINE WAGA NI WATEJA TU.🙏