Nina million 5 natafuta gari

Nina million 5 natafuta gari

Swift 1300cc kuna aliyenayo hapo Dar.
Inamilikiwa na mwanamke.
Ukipenda nitakuunga naye uione.
 
Mm Nina Carina TI gari nzuri sana, ila hata kama unasita m sikupi.
Nashauri tafuta Vits moja kali sana. Ya nne
Nyingine ipimp gari inoge
 
Back
Top Bottom