Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Check inbox yako.Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used.
1. Naishi mjini full rami (dsm)
2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return
3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba
4. Kipato naweza tumia mpka 250k kwaajili ya mafuta, bajeti zangu.
Nishaurini, nimewazia, Swift, Brevis, Alteza je mnashauri ipi.
USISHAURI NIFANYIE BIASHARA PESA, FANYA WEWE SIE WENGINE WAGA NI WATEJA TU.π
Umeonaa uje kumzika jamaa kabla hajafaa[emoji3][emoji3][emoji3]Chukua brevis 4m hiyo 1m kanywe bia na nyama choma
Umeonaa uje kumzika jamaa kabla hajafaa[emoji3][emoji3][emoji3]
wavuvi pazuri ila situmii wala kusogea sehem ya pombe, am a recovering alcoholicChukua paso ya 3mil.. 2 nenda wavuvi
Nashukuru sana nitafanya kuwaangalia,Kama upo Dar muangalie insta chuma_magari au sossy_magari kwa hapa,kwa mikoa ya kanda ya ziwa kamuangalie amani_used_car magari
Vitz new model.Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used.
1. Naishi mjini full rami (dsm)
2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return
3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba
4. Kipato naweza tumia mpka 250k kwaajili ya mafuta, bajeti zangu.
Nishaurini, nimewazia, Swift, Brevis, Alteza je mnashauri ipi.
USISHAURI NIFANYIE BIASHARA PESA, FANYA WEWE SIE WENGINE WAGA NI WATEJA TU.π
Ti ni gari ngumu sana, je kuna lolote la ziada naweza jua kuhusu hiyo gari.Tafuta toyota Carina Ti gari gari ya maskini
new model sivutiwi nazo, labda clavia old, naweza toa hata 7m nkipata clavia imesimama, hata rs piaVitz new model.
asante sana, boss ushauri wako nitauweke maananiKwa bajet ya M5 nadhani unaweza pata vitz au sienta namba C au B mkuu.. low mantainance
Asante mkuu,Tafuta vitz ama swift. Sahau brevis na alteza
Brevis tena.....jini mafuta hilo.Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used.
1. Naishi mjini full rami (dsm)
2. KM 8 home to work na kurudi, 4go, 4return
3. Sina crue,watu wengi,familia kubwa ya kubeba
4. Kipato naweza tumia mpka 250k kwaajili ya mafuta, bajeti zangu.
Nishaurini, nimewazia, Swift, Brevis, Alteza je mnashauri ipi.
USISHAURI NIFANYIE BIASHARA PESA, FANYA WEWE SIE WENGINE WAGA NI WATEJA TU.π
Ndoa ya kikatolic hio gari ukichukua kuuza shughuliBrevis tena.....jini mafuta hilo.