Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Kifo kipo kila idara bwashee huwezi kukikimbiaUnanunua kifo
Kwani nimekuambia unakikimbia ungekua unakipenda ungesimama barabarani ugongwe ufeKifo kipo kila idara bwashee huwezi kukikimbia
Kwamba nitakufa nikinunua pikipiki?Unanunua kifo
SawaTuwasiliane
We inunue utajua maana ya hii sentensiKwamba nitakufa nikinunua pikipiki?
Hapana mkoanuko daslam au
Be positive mkuuWe inunue utajua maana ya hii sentensi