Nina mimba yako

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Mume alimpa talaka mkewe ,baada ya wiki moja baba yake mwanamke akafa,yule mwanamke akapewa urithi milioni 100 ,mwanaume kusikia ivo akampigia simu yule mwanamke akwamwambia "nina mimba yako
 
hahahaha, pesa sabuni ya mapenzi asikwambie "ntu"
 
mkuu nimekuja mbio kujua ni nani tena mwenye mimba yangu
Mume alimpa talaka mkewe ,baada ya wiki moja baba yake mwanamke akafa,yule mwanamke akapewa urithi milioni 100 ,mwanaume kusikia ivo akampigia simu yule mwanamke akwamwambia "nina mimba yako
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ngumu kumeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…