Nina mizimu ya simu hatari

Nina mizimu ya simu hatari

Wakuu nimekuwa na urafiki na smartphone yangu kupita kiasi.mimi muda wote na simu.kila muda Niko busy na simu mpaka chooni.kwenye daladala Niko na simu napitia nyuzi za JF
Chonde chonde usiwe na mizimu kama hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
tapatalk_1541394021780.jpeg
 
Back
Top Bottom