Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

Hy hali ni y kawaida yan inamkuta kila mwanaume amby n active
 
Kama unaweza chepuka.... Kwa sabb mwanaume awez kukaa na mwanamke mmja maishani..... Ila tu kua makini na endelea kumpenda mkeo
 
Ukishiba chakula alochopika mke wako unaenda kumtamani huyo workmake wako!!.
 
Huo ni umalaya na unamdhalilisha mkeo.Acha ujinga na concentrate kwa mkeo,wazuri wako wengi na hawataisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…