Nina mpango mkubwa wa kuanzisha studio ya muzuki wa Injili na online television

Nina mpango mkubwa wa kuanzisha studio ya muzuki wa Injili na online television

Habari

Rejea mada tajwa hapo juu nafahamu humu jf tupo watu Wa fani mbalimbali hivyo ndio maana nimeleta mada hii nikijua nitapata majibu kwenu

Nina mpango mkubwa Wa kuanzisha studio ya muzuki wa injili na online television
Naombeni msaada wenu kwa yeyote anaejua bei za vitu hivi inacost shilingi ngapi naomba anisaidie kunifahamisha

(I) Sound proof
(II) camera zenye uwezo Wa kirekodi video
(IIII) Piano

Vile vile kwa wenye uzoefu naombeni mnisaidie ni vitu gani na gani napaswa kuna navyo ili niweze kukamilisha mpango wangu na ndoto zangu hizo za siku nyingi

Nitashukuru kwa maoni yenu
R. I. P Ruge, angeweza kukuinua hapa
 
Back
Top Bottom