Kwema mkuu? Naona wadau hawajaona uzi wako
Hapo mkuu ni kupambana kutafuta wateja "BIASHARA MATANGAZO" jitahidi kufanya matangazo ya biashara yako hakika utapata tu wateja naamini demand ya kuku ni kubwa sana, wazo la nyongeza unaweza ukawa unafuga pia na wewe kuku kiasi yani uwe unapata faida kwenye kutotolesha na kwenye kufuga, all the best mkuu.
Hivi hayo mayai ya matabaka yote uliyoyataja yanauzwa wapi?
Since umekuja kishari Shari nitakujibu hivyo hivyo.. Unadhani naweza nunua incubators za kutotolesha vifaranga zaidi ya 14,000 bila kufanya research ya kupata mayai? Kama huna jibu au hujui kilicho ulizwa ungeweza pita kimya kimya tu
Samahani boss wangu kwa swali la kishari Shari ...Sina maana mbaya ila jukwaa hili ni sehemu ambapo kila mtu anaongea chochote na kuuliza chochote ilimradi asivunje sheria za jf kwa uzi wako huu mwenzio nimechungulia fursa hivyo nikauliza kujua mayai yanapatikana wapi ili kujua tu na sio vinginevyo I beg your pardon my brother
Umefanya Research ukapata wapi?Since umekuja kishari Shari nitakujibu hivyo hivyo.. Unadhani naweza nunua incubators za kutotolesha vifaranga zaidi ya 14,000 bila kufanya research ya kupata mayai? Kama huna jibu au hujui kilicho ulizwa ungeweza pita kimya kimya tu
Umefanya Research ukapata wapi?
Hahaha nikushauri tu tengenexa Parebts wako na anza kutotolesha mayai kutokana na kuku wako vinginevyo jiandae kuuziwa hata ya layers yadio kuwa na mbegu.
Hizo breeds unazo zitaja hapa kaka Light Susex au hata Red Rhodes na wakina New Hampshire maana yake lazima U import mayayi kutoka Nje sabs sana sana South Africa au Ulaya hapo ndo kuna Parents stock wa hizo breeds.
Tanzania hapa utauziwa vitu ajabu tu.
Na Kuwa na Parents stock wako ndo kitu muhimu na kuwapata Pure ni lazima kuagiza nje kuagiza nje ni lazima.kuwa na vibali kutoka wizaraya mifugo vinavyo kuruhusu kuingiza nchini mayai.
Na lazima yaje kwa ndege. bila vibali pale airport wapasua yote unless
Sent using Jamii Forums mobile app