Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema nime order incubators 3 zenye ujazo wa 6,336 ingine 4,224 na 3,520 zinakuja na Hatchers zake pia nime order hatcher peke yake ya mayai 3500.
Naanza kutotolesha vifaranga wa aina zote Kama Cross breed, Black/white Australorps, kroiler, Red hamshire, Rhode island red, Sussex na wengine.
Nachohitaji ni upatikanaji wa mayai bora ya kutotolesha. Machines zinaingia October mwanzoni nitaanza machines zikifika tu nitakuwa Mbezi beach..
Je soko la vifaranga likoje kwa Dar? Naomba ushauri/muongozo wowote asanteni sana.