MWANA WA DAUDI
Member
- May 12, 2011
- 46
- 7
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao.
Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana nahitaji utaalam wenu hapa wa kunishauri kuhusu faida na hasara za kusajili chuo VETA au NACTE. Masomo yatakayofundishwa ni yale yaliyoko katik silabus ya ama VETA au NACTE. Ila mimi nitaunganisha na masomo ya ujasiria mali kwa sababu nina amini kwamba elimu ya ujasiria mali ni suluhisho la mambo matatizo mengi.
Kwa hiyo, naombeni mnielekeze kwa ama mtaalam mzuri wa kunishauri ama mwenye uzoefu anaweza pia kuweka ushauri hapa kwa faida ya wanajamvi wote. Binafsi mimi niko flexible, kwa namna yo yote ambayo watu wataelimika na mfumo wa ada nitakaowachaji hautawaumiza wao na wala hautanifanya mimi nishindwe kuendesha chuo, ndo njia nitakayotumia - a win win situation.
Nataka ushauri kuhusu yafuatayo?
1) Nisajili NACTE au VETA? Kwanini.
2) Kwa hapa Dar ni sehemu gani nzuri kuanzisha ikiwa kodi ya nyumba kwa mwezi iswe kubwa sana.
3) Walimu wa masomo hayo wanapatikana wapi?
4) Silabasi za serikali zinapatikana wapi?
5) Je, wanafunzi/wateja wa mwanzo kabla hatujajulikana, tutawapataje?
6) je, kati ya Chuo na shule ya sekondari ya kawaida ipi bora? Kivipi? Kumbuka I am very flexible, ni ushawishi tu.
7) Je, tulenge watu wa umri gani zaidi? kwa nini?
8) Masomo gani tuyajumuishe kati ya masomo yaliyopo? Kwa nini?
9) Mtaalam anaweza kuja na maswali zaidi na kuyajibu katika ushauri wake kwangu.
Nawashukuruni sana in advance.