Nina mpango wa kuanzisha Chuo cha Kutoa Diploma. Natafuta mtaalam wa kunishauri vizuri

Joined
May 12, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao.

Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana nahitaji utaalam wenu hapa wa kunishauri kuhusu faida na hasara za kusajili chuo VETA au NACTE. Masomo yatakayofundishwa ni yale yaliyoko katik silabus ya ama VETA au NACTE. Ila mimi nitaunganisha na masomo ya ujasiria mali kwa sababu nina amini kwamba elimu ya ujasiria mali ni suluhisho la mambo matatizo mengi.

Kwa hiyo, naombeni mnielekeze kwa ama mtaalam mzuri wa kunishauri ama mwenye uzoefu anaweza pia kuweka ushauri hapa kwa faida ya wanajamvi wote. Binafsi mimi niko flexible, kwa namna yo yote ambayo watu wataelimika na mfumo wa ada nitakaowachaji hautawaumiza wao na wala hautanifanya mimi nishindwe kuendesha chuo, ndo njia nitakayotumia - a win win situation.

Nataka ushauri kuhusu yafuatayo?
1) Nisajili NACTE au VETA? Kwanini.
2) Kwa hapa Dar ni sehemu gani nzuri kuanzisha ikiwa kodi ya nyumba kwa mwezi iswe kubwa sana.
3) Walimu wa masomo hayo wanapatikana wapi?
4) Silabasi za serikali zinapatikana wapi?
5) Je, wanafunzi/wateja wa mwanzo kabla hatujajulikana, tutawapataje?
6) je, kati ya Chuo na shule ya sekondari ya kawaida ipi bora? Kivipi? Kumbuka I am very flexible, ni ushawishi tu.
7) Je, tulenge watu wa umri gani zaidi? kwa nini?
8) Masomo gani tuyajumuishe kati ya masomo yaliyopo? Kwa nini?
9) Mtaalam anaweza kuja na maswali zaidi na kuyajibu katika ushauri wake kwangu.

Nawashukuruni sana in advance.
 
ARE YOU INSPIRED TO THE PROJECT/BUSINESS IDEA?, au umeipateje idea hii, hapo ndo mwanzo wa kushauriwa!! umeuliza maswali mengi japo ni mchanganyiko na hujasema unataka DIPLOMA YA PROFESSION GANI! UALIMU? UFUNDI FULANI NK.

What is your interest and /or strenght kwenye huo uwekezaji, jaribu kufanya utafiti pia kucheki directories za vyuo hapa TZ, utajua uingie katka ushindani wa vyuo kama vyao au utadesign chuo cha mafunzo mapya- ambayo ita kugharimu sana sababu ya utafiti na legal aspects zake! BUT ukishajua ni aina gani ya chuo, then a business plan is a must!

Some people ndani humu (jamii forum) wanaweza kuwa wataalam wa kudesign professional study programs, but lazima uingie mfukoni, NO free consultancy services!
 
La muhimu jiulize una uwezo wa kifedha za kuweka Jengo la hicho unachofikiria/au utakodisha? una uelewa gani kuhusu mambo haya? maana kama hujui lolote chuo chako kitakufa hata kabla hujasajili chuo?
 
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao. Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana nahitaji utaalam wenu hapa wa kunishauri kuhusu faida na hasara za kusajili chuo VETA au NACTE. Masomo yatakayofundishwa ni yale yaliyoko katik silabus ya ama VETA au NACTE. Ila mimi nitaunganisha na masomo ya ujasiria mali kwa sababu nina amini kwamba elimu ya ujasiria mali ni suluhisho la mambo matatizo mengi.

Kwa hiyo, naombeni mnielekeze kwa ama mtaalam mzuri wa kunishauri ama mwenye uzoefu anaweza pia kuweka ushauri hapa kwa faida ya wanajamvi wote. Binafsi mimi niko flexible, kwa namna yo yote ambayo watu wataelimika na mfumo wa ada nitakaowachaji hautawaumiza wao na wala hautanifanya mimi nishindwe kuendesha chuo, ndo njia nitakayotumia - a win win situation.

Nataka ushauri kuhusu yafuatayo?
1) Nisajili NACTE au VETA? Kwanini.
2) Kwa hapa Dar ni sehemu gani nzuri kuanzisha ikiwa kodi ya nyumba kwa mwezi iswe kubwa sana.
3) Walimu wa masomo hayo wanapatikana wapi?
4) Silabasi za serikali zinapatikana wapi?
5) Je, wanafunzi/wateja wa mwanzo kabla hatujajulikana, tutawapataje?
6) je, kati ya Chuo na shule ya sekondari ya kawaida ipi bora? Kivipi? Kumbuka I am very flexible, ni ushawishi tu.
7) Je, tulenge watu wa umri gani zaidi? kwa nini?
8) Masomo gani tuyajumuishe kati ya masomo yaliyopo? Kwa nini?
9) Mtaalam anaweza kuja na maswali zaidi na kuyajibu katika ushauri wake kwangu.

Nawashukuruni sana in advance.

Mkuu ni rahisi sana kukushauri iwapo ungekuwa already uko focused! Inavyoonekana ni kama vile wewe unapesa tayari lakini hujui wapi pa kuipeleka! Umesema unataka kuanzisha chuo cha kutoa Diploma, lakini walengwa wako ni form four div 4, vyuo vingi ninavovifahamu kutoa mafunzo ya diploma huwa ni kwa form six na form four waliopitia mafunzo ya cheti.

Ungekuwa umevutiwa na kilimo ningekupa wazo zuri sana la kuanzisha chuo kuwasaidia walengwa wako waliotapakaa vijijini na kukata tamaa, lakini kwa vile umependelea shughuri zako ufanyie jijini Dar es Salaam no way!!!
 
Mkuu ni rahisi sana kukushauri iwapo ungekuwa already uko focused! Inavyoonekana ni kama vile wewe unapesa tayari lakini hujui wapi pa kuipeleka! Umesema unataka kuanzisha chuo cha kutoa Diploma, lakini walengwa wako ni form four div 4, vyuo vingi ninavovifahamu kutoa mafunzo ya diploma huwa ni kwa form six na form four waliopitia mafunzo ya cheti. Ungekuwa umevutiwa na kilimo ningekupa wazo zuri sana la kuanzisha chuo kuwasaidia walengwa wako waliotapakaa vijijini na kukata tamaa, lakini kwa vile umependelea shughuri zako ufanyie jijini Dar es Salaam no way!!!

Naunga mkono hoja
 
Yaelekea wazi ulipigiwa hesabu ya mezani ...tena kwa phone calculator! jishughulishe fanya utafiti wako kwanza usiangalie idadi ya wanafunzi na ada !!"
 
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao. Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana nahitaji utaalam wenu hapa wa kunishauri kuhusu faida na hasara za kusajili chuo VETA au NACTE. Masomo yatakayofundishwa ni yale yaliyoko katik silabus ya ama VETA au NACTE. Ila mimi nitaunganisha na masomo ya ujasiria mali kwa sababu nina amini kwamba elimu ya ujasiria mali ni suluhisho la mambo matatizo mengi.
Kwa hiyo, naombeni mnielekeze kwa ama mtaalam mzuri wa kunishauri ama mwenye uzoefu anaweza pia kuweka ushauri hapa kwa faida ya wanajamvi wote. Binafsi mimi niko flexible, kwa namna yo yote ambayo watu wataelimika na mfumo wa ada nitakaowachaji hautawaumiza wao na wala hautanifanya mimi nishindwe kuendesha chuo, ndo njia nitakayotumia - a win win situation.
Nataka ushauri kuhusu yafuatayo?
1) Nisajili NACTE au VETA? Kwanini.
2) Kwa hapa Dar ni sehemu gani nzuri kuanzisha ikiwa kodi ya nyumba kwa mwezi iswe kubwa sana.
3) Walimu wa masomo hayo wanapatikana wapi?
4) Silabasi za serikali zinapatikana wapi?
5) Je, wanafunzi/wateja wa mwanzo kabla hatujajulikana, tutawapataje?
6) je, kati ya Chuo na shule ya sekondari ya kawaida ipi bora? Kivipi? Kumbuka I am very flexible, ni ushawishi tu.
7) Je, tulenge watu wa umri gani zaidi? kwa nini?
8) Masomo gani tuyajumuishe kati ya masomo yaliyopo? Kwa nini?
9) Mtaalam anaweza kuja na maswali zaidi na kuyajibu katika ushauri wake kwangu.

Nawashukuruni sana in advance.

Nicheki, nina uzoefu katika masuala ya kiuhasibu na kibiashara...........plz nistue kwa somo la ujasiriamali au uhasibu!!!!!
 
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao. Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana nahitaji utaalam wenu hapa wa kunishauri kuhusu faida na hasara za kusajili chuo VETA au NACTE. Masomo yatakayofundishwa ni yale yaliyoko katik silabus ya ama VETA au NACTE. Ila mimi nitaunganisha na masomo ya ujasiria mali kwa sababu nina amini kwamba elimu ya ujasiria mali ni suluhisho la mambo matatizo mengi.
Kwa hiyo, naombeni mnielekeze kwa ama mtaalam mzuri wa kunishauri ama mwenye uzoefu anaweza pia kuweka ushauri hapa kwa faida ya wanajamvi wote. Binafsi mimi niko flexible.

Kwa namna yo yote ambayo watu wataelimika na mfumo wa ada nitakaowachaji hautawaumiza wao na wala hautanifanya mimi nishindwe kuendesha chuo, ndo njia nitakayotumia - a win win situation.
Nataka ushauri kuhusu yafuatayo?
1) Nisajili NACTE au VETA? Kwanini.
2) Kwa hapa Dar ni sehemu gani nzuri kuanzisha ikiwa kodi ya nyumba kwa mwezi iswe kubwa sana.
3) Walimu wa masomo hayo wanapatikana wapi?
4) Silabasi za serikali zinapatikana wapi?
5) Je, wanafunzi/wateja wa mwanzo kabla hatujajulikana, tutawapataje?
6) je, kati ya Chuo na shule ya sekondari ya kawaida ipi bora? Kivipi? Kumbuka I am very flexible, ni ushawishi tu.
7) Je, tulenge watu wa umri gani zaidi? kwa nini?
8) Masomo gani tuyajumuishe kati ya masomo yaliyopo? Kwa nini?
9) Mtaalam anaweza kuja na maswali zaidi na kuyajibu katika ushauri wake kwangu.

Nawashukuruni sana in advance.

Aisee nimegundua kuwa tayari una pesa lakini huna best idea........nicheki ila lazima nikuchaji kidogo maana nitafanya kama consultation fee.............kwa kukutia moyo mwelekeo wa shule hasa sekondari unalipa zaidi kuliko chuo, ila retun yake it takes time......but naweza kukuelekeza how can you survive till the returns....nicheki mkuu!!!!
 
Diploma ipo NACTE na usajili wa nacte makorokoro yake haupungui 5m hapo hauna guarantee kama watakupa usajili au la
 
Back
Top Bottom