4rever young
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 136
- 125
- Thread starter
-
- #21
Haha mzee hii njia nilikuwa natumia chuo Boom lote nimelipeka kufanya biashara alafu majanga sipokei hata faida hata 1000/= kwasiku mzee usiombe ikutokee nilifanya idalali mpaka vibaya ili nipate pesa yaku survival kwa miezi minne 4 yaani nikiamka na 3000/= nyingi.
Kutoboa sio kweli ila bado ina exist mzee hadi sasa bila subra ingekuwa sinakitu.[emoji23][emoji23][emoji23] Mwishoni ikawaje mkuu biz ilitoboa au??
Manengelo mtaji wa 2.5mil. mi nkienda lima natafuta kijiji chenye pori nakuwa mtu pori.Unaenda kupoteza hyo hel mkuu mapema sana sana
Unaenda kupoteza hyo hel mkuu mapema sana sana
1.Kilimo cha umwagiliaji au mvua kaka?
2.una uhakika na maji? Ukilima karibu na mabonde ya maji ni faida.
Imagine unaweka mbegu ya mahindi chini unasubiri mvua moja ipige afu inakataa.
3. Lima mahindi broh chagua mbegu ya ukanda wa kati kama ni morogoro kilombero au tunaita sehemu ya mvua chache.
kila kilo ya mbegu 12000tsh kila ekari kilo nane, mbole ya kuotesha NPK 65000tsh kwa mfuko, ya kukuzia urea, bado busta kama yakidhoofu.
Mi nalima ya maji msimu huu kaka nishaanza tayari na uhakika wa maji upo mwezi wa 12 mavuno siku 110 mpaka 120 ila nina mbegu ya ukanda wa juu.
Nikitoa hata mahindi naweka nyanya
4. 2.5 still you can do other simplest business and grow kama huto overspend the initial profit tulipangaga carwash kaka.
5. Nicheki nikupe mawazo mengine.
Daaah!! Mkuu unaufundi kweli wa kumkatisha mtu tamaa
He can start small. With veggies for example.Agrobusiness is business if you have huge money n outside business, for that money you going to cry.
Kivipi ntaenda kupoteza pesa,,, ungenifafanulia kidogo ili unifungue machoHuu ni ukweli..
Nimeelewa km unataka kulima..kulima kwa 2.5 ni bora ubaki unalala...! na ukijimix ati ulime mboga mboga utajikuta unazila mwenyrw..mambo sio km 2015 veggies ilikua hot...!Kivipi ntaenda kupoteza pesa,,, ungenifafanulia kidogo ili unifungue macho
Mi nipo kotekote boss kikubwa pesa, silaha pesa mjini hata ulete ubishi.Bro nakuja 2yajenge mkuu,,,, asee kumbe upogo na huku kwenye maswala ya shamba [emoji23][emoji23]nikajua unautaalamu wa car wash na kupanga odds za kumuua muindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kilasiku utajikuta unakula majani ya maboga na sukuma week mpaka uwe mmea.Nimeelewa km unataka kulima..kulima kwa 2.5 ni bora ubaki unalala...! na ukijimix ati ulime mboga mboga utajikuta unazila mwenyrw..mambo sio km 2015 veggies ilikua hot...!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kilasiku utajikuta unakula majani ya maboga na sukuma week mpaka uwe mmea.
Kumbe wakati mwingine huwa unajitoa ufahamuHapo kwa mwenyeji utafeli.
Eiza mtapeana mimba ama utapigwa hela.
Sina mchango wa maana zaidi ya huu, Balimi ndo zimenifikisha hapa.
Happy Nane Nane young man.
Funguka mkuu. Anaenda kuipoteza vipi ?Unaenda kupoteza hyo hel mkuu mapema sana sana