4rever young
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 136
- 125
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23] Mwishoni ikawaje mkuu biz ilitoboa au??
Haha mzee hii njia nilikuwa natumia chuo Boom lote nimelipeka kufanya biashara alafu majanga sipokei hata faida hata 1000/= kwasiku mzee usiombe ikutokee nilifanya idalali mpaka vibaya ili nipate pesa yaku survival kwa miezi minne 4 yaani nikiamka na 3000/= nyingi.