The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Endelea kulinda geti la watu, usije ukasabisha wizi wa mali za boss wako.View attachment 3311565
Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi ili kuleta ushindani na uwiano wa kidini kwenye sanduku la kura. Pia, ni mzenj wa Tanga. Mimi ni daktari wa kujipachika.
Kumbe hunijui! Kama akina bashiti waliokuwa ombaomba sasa wanaula kwanini siyo mimi mwanangu?Endelea kulinda geti la watu, usije ukasabisha wizi wa mali za boss wako.
Kila kitu ni determination Tu sema kwa Tanzania police wao wa hovyo watakumalizaView attachment 3311565
Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi ili kuleta ushindani na uwiano wa kidini kwenye sanduku la kura. Pia, ni mzenj wa Tanga. Mimi ni daktari wa kujipachika.
Fungua kanisa tu, hayo mambo ya siihasa wachie akina flani.Kumbe hunijui! Kama akina bashiti waliokuwa ombaomba sasa wanaula kwanini siyo mimi mwanangu?
Sina haja ya kuwaibia wajinga tena maskini kama hawa wachunaji wenu uchwara. Hayo nawaachia mwakuposa na mwakasenge na akina Gwaijuma.Fungua kanisa tu, hayo mambo ya siihasa wachie akina flani.
Kuwa ccm na kufuga machawa kunamuondoa ulingoni ni hovyo tu kama mwendazake MagufuliUkiweka pembeni CCM, SAMIA ni rais mzuri sana. Na Mungu ambariki sana aweze kuwa na maamuzi sahihi katika kipindi hiki kigumu.