MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
ugonile,
huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa itaenda mrama.
binafsi napenda mwanamke mwenye heshima na ambae yuko submissive kitu ambacho kwa upande wa waislam naona mwanamke anaandaliwa jinsi ya kuishi na mwanaume from the scratch, wana heshima sana kitu ambacho ndo mwanaume yeyote anaitaji kutoka kwa mwanamke wake na endapo mambo yakaenda mrama kwenye ndoa dini imeweka bayana mifumo ya namna ya kukabiliana nayo kirahisi kabisa tofauti na ukristo ambao mwanamke anakuigizia tabia ila mkishafunga pindu za maisha madhabahuni tu anarudi kwenye default mode.
kitu kingine kizuri ni kuwa naweza kuoa wanawake wengi as much as i can tofauti na huku kwenye ukristo.
karibuni kwa mawazo kabla sijakurupuka
wale wafia dini hapa sio pahala pake