Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

ugonile,

huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa itaenda mrama.

binafsi napenda mwanamke mwenye heshima na ambae yuko submissive kitu ambacho kwa upande wa waislam naona mwanamke anaandaliwa jinsi ya kuishi na mwanaume from the scratch, wana heshima sana kitu ambacho ndo mwanaume yeyote anaitaji kutoka kwa mwanamke wake na endapo mambo yakaenda mrama kwenye ndoa dini imeweka bayana mifumo ya namna ya kukabiliana nayo kirahisi kabisa tofauti na ukristo ambao mwanamke anakuigizia tabia ila mkishafunga pindu za maisha madhabahuni tu anarudi kwenye default mode.

kitu kingine kizuri ni kuwa naweza kuoa wanawake wengi as much as i can tofauti na huku kwenye ukristo.

karibuni kwa mawazo kabla sijakurupuka

wale wafia dini hapa sio pahala pake
Mmoja hatoshi, wake wanne kabisa
 
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
 
ugonile,

huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa itaenda mrama.

binafsi napenda mwanamke mwenye heshima na ambae yuko submissive kitu ambacho kwa upande wa waislam naona mwanamke anaandaliwa jinsi ya kuishi na mwanaume from the scratch, wana heshima sana kitu ambacho ndo mwanaume yeyote anaitaji kutoka kwa mwanamke wake na endapo mambo yakaenda mrama kwenye ndoa dini imeweka bayana mifumo ya namna ya kukabiliana nayo kirahisi kabisa tofauti na ukristo ambao mwanamke anakuigizia tabia ila mkishafunga pindu za maisha madhabahuni tu anarudi kwenye default mode.

kitu kingine kizuri ni kuwa naweza kuoa wanawake wengi as much as i can tofauti na huku kwenye ukristo.

karibuni kwa mawazo kabla sijakurupuka

wale wafia dini hapa sio pahala pake
Kumbuka ndoa zote ni za serikali.
 
Mimi kama muislamu labda nikuambie tu

1. Usije ukabadili dini kwa sababu yoyote ile ispokuwa umejua ukweli umo wapi meaning umefanya uchunguzi wako na ukajiridhisha kwamba sasa nimejua haki ilipo kwa uthibitisho wa wazi hivyo nabadili dini nikiwa na uhakika .

2. Unaweza kubadili dini lakini kama haufanyi ibada basi wewe hauhesabiki kama muislamu (na hapa nikazie ukiacha hata swala moja kwa siku kwa makusudi kabisa UMETOKA NDANI YA UISLAMU) unakuwa kundi moja na wasiokuwa waislamu na HAKUNA NDOA YA MWANAUME ASIYE MUISLAMU NA MWANAMKE MUISLAMU.

3. Usijidanganye kwamba maswala ya talaka na mgawanyo wa mali uta ku favour mwanaume pindi mambo yasipoenda sawa , watu wengi hapa hawana elimu ndiyo maana wanadhulumiwa , KAMA MKE ANA MKONO WAKE KWENYE MALI basi jua mtagawa 50/50 na utatakiwa kumuhudumia kwa kila kitu [ispokuwa tendo] mpaka atakapomaliza Eda yake .

N.B
NIKAZIE UKIBADILI DINI KWA SABABU YOYOTE ILE ISPOKUWA YA KUUJUA UKWELI BASI HIYO SABABU NI BATILI.
 
Kama dini ni kipaombele kwenu basi oa mtu wa dini yako.... Tangu lini mtu mwenye majini ndani yake akaendana na mtu mwenye yesu ndani yake?

Ndege wafananao waruke pamoja
Ha! Mapepo yapo kila sehemu ndiyo maaana mwamposa anaendelea kupiga pesa kwa kuuza mafuta na kila siku mnakemea mapepo ya kukosa mume, mapepo ya kukosa mke , mapepo ya kukosa kazi, mapepo ya ulevi, mapepo ya uzinzi ongeza mengine mkuu ......

Sasa sijui huyo yesu anakaaje na hayo mapepo yote tajwa hapo juu .
 
Mimi kama muislamu labda nikuambie tu

1. Usije ukabadili dini kwa sababu yoyote ile ispokuwa umejua ukweli umo wapi meaning umefanya uchunguzi wako na ukajiridhisha kwamba sasa nimejua haki ilipo kwa uthibitisho wa wazi hivyo nabadili dini nikiwa na uhakika .

2. Unaweza kubadili dini lakini kama haufanyi ibada basi wewe hauhesabiki kama muislamu (na hapa nikazie ukiacha hata swala moja kwa siku kwa makusudi kabisa UMETOKA NDANI YA UISLAMU) unakuwa kundi moja na wasiokuwa waislamu na HAKUNA NDOA YA MWANAUME ASIYE MUISLAMU NA MWANAMKE MUISLAMU.

3. Usijidanganye kwamba maswala ya talaka na mgawanyo wa mali uta ku favour mwanaume pindi mambo yasipoenda sawa , watu wengi hapa hawana elimu ndiyo maana wanadhulumiwa , KAMA MKE ANA MKONO WAKE KWENYE MALI basi jua mtagawa 50/50 na utatakiwa kumuhudumia kwa kila kitu [ispokuwa tendo] mpaka atakapomaliza Eda yake .

N.B
NIKAZIE UKIBADILI DINI KWA SABABU YOYOTE ILE ISPOKUWA YA KUUJUA UKWELI BASI HIYO SABABU NI BATILI.
interest yangu ni ndoa tu mkuu, ayo mambo mengine mimi hayanihusu
 
Back
Top Bottom