MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 Feb 17, 2025 Thread starter #81 Vishu Mtata said: Unataka kubadili dini na hutaki wafia dini tukushauri, baki hukohuko huku hatutaki vilaza. Click to expand... nyie wafia dini ndo vilaza kupindukia, mnashadadia dini za kurithi
Vishu Mtata said: Unataka kubadili dini na hutaki wafia dini tukushauri, baki hukohuko huku hatutaki vilaza. Click to expand... nyie wafia dini ndo vilaza kupindukia, mnashadadia dini za kurithi
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Feb 17, 2025 #82 MFALME WETU said: nyie wafia dini ndo vilaza kupindukia, mnashadadia dini za kurithi Click to expand... Sasa wewe hofu yako nini kubadili dini uliyorithi mpaka uanzishe uzi?? Kijana upo sawa kweli, huyo binti unyunyu aliokupulizia ni wa kisiwa gani??
MFALME WETU said: nyie wafia dini ndo vilaza kupindukia, mnashadadia dini za kurithi Click to expand... Sasa wewe hofu yako nini kubadili dini uliyorithi mpaka uanzishe uzi?? Kijana upo sawa kweli, huyo binti unyunyu aliokupulizia ni wa kisiwa gani??
grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 3,943 Reaction score 5,550 Feb 17, 2025 #83 MFALME WETU said: interest yangu ni ndoa tu mkuu, ayo mambo mengine mimi hayanihusu Click to expand... Uzuri ujumbe umeupata
MFALME WETU said: interest yangu ni ndoa tu mkuu, ayo mambo mengine mimi hayanihusu Click to expand... Uzuri ujumbe umeupata