Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Habari za majukumu Ladies and Gents.
Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)
Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.
Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.
Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.
Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.
Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.
Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.