Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Naelewa mkuu umuhimu wa ardhi ila sina namna.Uza vingine ila usiuze kiwanja mkuu
Sawa mkuu tusubiri maoni na ushauri wa wadau wengineNaelewa mkuu umuhimu wa ardhi ila sina namna.
Nimejaribu kuongea na Madoni wa ukoo wanisapot ila nimetolewa Nje.
Sasa nashindwa nifanyeje, nahitaji kufanya Biashara na kuendelea na maisha mengine
Ati nini 😂Uza kila kitu ila sio kiwanja uza hata mke, mchepuko upate pesa ya biashara.
uza hata mke, mchepuko...[emoji848][emoji2827][emoji25][emoji17]Uza kila kitu ila sio kiwanja uza hata mke, mchepuko upate pesa ya biashara.
Inashangaza sana pole mkuu utu unazidi kuporomoka miongon mwetu
Hapa atapata ushauri mzuri sana. Wapo watakaombeza na kumkatisha tamaa, na kumkejeli, lakini wapo pia watakaompa ushauri mzuri sana!! Ataachana na yasiyomfaa lakini atachukua ushaurinuliuo mzuri!! Kwa hiyo afuatilie tu huu uzi wake bila shaka atapata mwongozo mzuri tu.Humu huwezi pata ushauri zaidi ya kukutisha na kukukatisha tamaa.
Go for it brother.
Uwe na safari njema.
#YNWA
Hiyo ndo hassling ya men huenda hizo pesa utapata zitakufa zote au kupotea, ila utakuja kupata zingine na utafanikiwa......kutafuta mtaji sio mchezo kwasisi wanaumme kijana usikate tamaa mimi nilishawahi uza godoro la shule nipata mtaji wa kuuza pipi stendi......Habari za majukumu Ladies and Gents.
Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)
Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.
Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.
Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.
Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.
Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.
Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
Hujawahi kuuza karanga so hujui hiyo biashara. Usijifunze biashara kwa hela za kujimaliza tena kama hayo mazao hayatabiriki.Habari za majukumu Ladies and Gents.
Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)
Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.
Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.
Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.
Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.
Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.
Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
Kiwanja kipo maeneo gani?Habari za majukumu Ladies and Gents.
Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)
Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.
Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.
Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.
Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.
Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.
Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
Usiuze kiwanjaHabari za majukumu Ladies and Gents.