Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana
Hii ni mara ya tano naibiwa vitu ndani nikiwa safarini
wahuni wanavunja kufuli la Grill, wanavunja kitasa cha mlango kisha wanaingia wanaiba vitu
sasa nataka niweke mfumo wa Shoti ya umeme kwenye Kitasa Cha mlango wa Nyuma, atakaekuja kujichanganya sitakua na msaada nae
Taarifa za kuibiwa zilishafika kwa balozi, mwenyekiti wa mtaa lakini hakuna msaada wowote
NB: Muda wa kuwasha mfumo ni saa 4 usiku na kuzima saa 12 asubuhi.