Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sawa. Nitakuja umeme ukikatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuja kwa staili nyingine itakayo kushangaza......safari hii tutabeba kila kitu!Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana
Hii ni mara ya tano naibiwa vitu ndani nikiwa safarini
wahuni wanavunja kufuli la Grill, wanavunja kitasa cha mlango kisha wanaingia wanaiba vitu
sasa nataka niweke mfumo wa Shoti ya umeme kwenye Kitasa Cha mlango wa Nyuma, atakaekuja kujichanganya sitakua na msaada nae
Taarifa za kuibiwa zilishafika kwa balozi, mwenyekiti wa mtaa lakini hakuna msaada wowote
NB: Muda wa kuwasha mfumo ni saa 4 usiku na kuzima saa 12 asubuhi.
View attachment 3150152
Ikitudhuru tutakushitaki, sisi pia tunazo haki zetu.Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana