Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk

Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato.

Nina shahada ya maendeleo ya jamii.
Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
 
Kubeba Box. Hii fani haiitaji Cheti ni wewe tu na juhudi zako.
 
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk

Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato.

Nina shahada ya maendeleo ya jamii.
Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
VETA
 
Kazi nyingi za professional zinashikwa na wazawa, ukikuta sio mzawa basi unakuta Wahindi wameshakaba nafasi....kazi za kawaidi ambazo hazihitaji shule na zile ambazo zinadharaulika zina hela sana nje..
 
Back
Top Bottom