K Kifulu JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 557 Reaction score 2,064 Mar 14, 2025 #1 Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Mar 14, 2025 #2 Kubeba Box. Hii fani haiitaji Cheti ni wewe tu na juhudi zako.
K Kifulu JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 557 Reaction score 2,064 Mar 14, 2025 Thread starter #3 zerominus10 said: Kubeba Box. Hii fani haiitaji Cheti ni wewe tu na juhudi zako. Click to expand... Hapana nataka kuwa na fani mana Tayari nina driving license. Nataka maskills mengi Zaidi.
zerominus10 said: Kubeba Box. Hii fani haiitaji Cheti ni wewe tu na juhudi zako. Click to expand... Hapana nataka kuwa na fani mana Tayari nina driving license. Nataka maskills mengi Zaidi.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Mar 14, 2025 #4 Kifulu said: Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri. Click to expand... VETA
Kifulu said: Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri. Click to expand... VETA
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Mar 14, 2025 #5 Kazi nyingi za professional zinashikwa na wazawa, ukikuta sio mzawa basi unakuta Wahindi wameshakaba nafasi....kazi za kawaidi ambazo hazihitaji shule na zile ambazo zinadharaulika zina hela sana nje..
Kazi nyingi za professional zinashikwa na wazawa, ukikuta sio mzawa basi unakuta Wahindi wameshakaba nafasi....kazi za kawaidi ambazo hazihitaji shule na zile ambazo zinadharaulika zina hela sana nje..
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Mar 14, 2025 #6 and 300 said: VETA Click to expand... Kuchomelea mageti