SawaAcha ukoloni waache watoto waenjoi tuna utoto wao. Enzi zetu tulikuwa tunatembea kilometres za kutosha kwenda kuangalia tv sehemu.
Cha msingi wawekee ratiba maalum ya kuangalia tv baada ya kumaliza majukumu yao uliowapangia eg inaweza kuwa kulima bustani ,kupalilia majani, au kufanya usafi
Kuwa Mkoloni, waangalie siku za weekend TU, Kuanzia asubuhi mwisho saa 3 usiku baada ya taarifa ya habariWakuu za usiku.
Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi cha kukaa na kuangalia TV, Watu wavivu, Ombaomba na Maskini. Hii haikubaliki
Naomba kutoa hoja..naomba mniunge mkono au kutoa maoni
Kuangalia TV sio vibaya Bali weka tu ratiba itakayowasaidia. Ni muhimu pia wakafanya na shughuli ndogo ndogo.Wakuu za usiku.
Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi cha kukaa na kuangalia TV, Watu wavivu, Ombaomba na Maskini. Hii haikubaliki
Naomba kutoa hoja..naomba mniunge mkono au kutoa maoni
Pdf yake ni ndefu kidogo ila kanuni ya malezi ni kwamba watoto hawafanyi kile unawaambia wasifanye au wafanye Bali hufanya kile unachofanyaHii ifafanue itaokoa wengi. Kama hutojali mkuu
Vipi smartphone na platforms kama jamiiforums zilikuwepo? Huoni wewe kuendelea kutumia smartphones na jamiiforums kunakufanya kuwa mvivu, ombamba na masikini huenda sasa ungekuwa kama dangote kama ungetupa hiyo smartphone ukaachana na matumizi ya internetWakuu za usiku.
Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi cha kukaa na kuangalia TV, Watu wavivu, Ombaomba na Maskini. Hii haikubaliki
Naomba kutoa hoja..naomba mniunge mkono au kutoa maoni
Imeleweka. AsantePdf yake ni ndefu kidogo ila kanuni ya malezi ni kwamba watoto hawafanyi kile unawaambia wasifanye au wafanye Bali hufanya kile unachofanya
Wakiume hufanya kama baba yake na WA kike hufanya kama mama yake kuanzia wakati wa kuamka hadi wakati wa kulala
Sikiliza "coward of the county"wa Ken Rogers utaelewa vizuri zaidi ni SoMo la malezi nami sio mzuri sana wa kuandika
Ni kweli hili nalo neno, wanakuona kila mara ukiwa unashika simu. Sasa tutafanya nini.Vipi smartphone na platforms kama jamiiforums zilikuwepo? Huoni wewe kuendelea kutumia smartphones na jamiiforums kunakufanya kuwa mvivu, ombamba na masikini huenda sasa ungekuwa kama dangote kama ungetupa hiyo smartphone ukaachana na matumizi ya internet
Hapo sawaImeleweka. Asante
uzi ufungwe hapaAcha ukoloni waache watoto waenjoi tuna utoto wao. Enzi zetu tulikuwa tunatembea kilometres za kutosha kwenda kuangalia tv sehemu.
Cha msingi wawekee ratiba maalum ya kuangalia tv baada ya kumaliza majukumu yao uliowapangia eg inaweza kuwa kulima bustani ,kupalilia majani, au kufanya usafi
Mkuu ni kuwawekea tu ratiba maana huwezi kushindana na teknolojia mwisho wa siku itashinda. Hata kabla ya zama zako kulikuwa na zama za wa kabla yako nao hawakuwa na vitu ulivyokuwa navyo wewe huenda na wao walikuwa wanakuona wewe mvivu.Ni kweli hili nalo neno, wanakuona kila mara ukiwa unashika simu. Sasa tutafanya nini.
Najutahidi mara kwa mara nisime vitabu. Na kuwaonyesha umuhim wake.
Uko Sahihi kabisa, kuna kipindi sikulipa king'amuzi kwa makusudi, nikagundua kuwa saa mbili usiku watoto walikua wameshaoga, wameshakula, wamefanya homeworks na saa TATU WAKO kitandani.Wakuu za usiku.