Binafsi sionagi umaana wa mtoto kufuatilia season,mtoto anafatilia penzi la flani na flani kwenye season, what for?
Anaona wanavyotoana out,wanavyopeana zawadi,kisses,hugs na upuuzi mwingine kwenye maigizo yaliyojaa contents za mahusiano,ili iweje? Ili ajifunze nini?
Hakuna watu wanaoharibu watoto kama warusha season kwenye flash/memory card,watoto wakishaona wanahamasika ku_practice ili nao waishi kwenye raha kama wanavyoona kwenye hzo movie,mwishoe wanapigwa mimba na kukatisha ndogo zao..