Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

Mwambie tuu ndugu yangu! Kengewa magamba, badili uwe kenge wa magwanda toka ccm huko!
 
wewe ni kicheche na utavuna ulichopanda mana huna msimamo na mpenx wk wa awali ,,,,kwa maana akitokea msichana mwengine mrenbo akiingaia line unakamatilia,angalia ma HIV/AIDS ujani ni muhimu sana
 
hizo sababu 1,2 ulizotoa hazina mashko, kwa kifupi ni kwamba una demu huyo wa mwanza ndiye haswaaa anakutoa akili! umemgonga sasa unataka kumtosa, kha! guys bwana, ni kiboko!
 
jamaa anataka kumuacha kisanii ndo maana hajui afanyeje, mimi pia ishanikumba iyo na mademu wa fesibuku

kumbe uko mpaka huku bro? Nakujua sn na totoz za fb! Ulishanigongeaga demu wangu wa CBE pale ila ckuwa napenda ikawa sababu ya kumuacha.
 
Kama wewe ni mwaminifu Chukua jiwe niponde.......But ukwel wako unaujua wewe, me nimekuwa open, but kla mmoja ana masibu yake na 2kiyaweka waz weng 2taibika but frankly speaking Nina demu mmoja na huyu Mpya wa miez miwil bada ya shetan kuniteka.


Hakyanani ungekuwa karibu ningekuponda...I mean it.
 
wewe KengeWaKijani sikuiti bali namaanisha, najua ushauri wangu utauma ila ukweli ndio huo kwanza hizo lugha za face book hapa siyo mahali pake. Pia usitake kujipa ujiko ilihali demu mwenyewe hakufeel chochote naye ni stail ya kuomba msaada tutani tu.

rudi kwa huyo msukuma wako na huko naye ana mtu ana mfix, kwa minoti na outing. mshamba wewe. halafu kuna watu wanasababishia wenzao ban humu ndani manake ishu ya makabila inatoka wapi? wewe nakuombea ukutane na kisa cha side mnyamwezi.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni kicheche na utavuna ulichopanda mana huna msimamo na mpenx wk wa awali ,,,,kwa maana akitokea msichana mwengine mrenbo akiingaia line unakamatilia,angalia ma HIV/AIDS ujani ni muhimu sana
unamtetea dadayako anataka kukimbiwa salvatory mushi
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin umeguswa nini na wewe ni mchaga wa wamachame?hii imani wengi wamejijengea na wameambukiza sana watu mimi ninavyojua kila mtu ana tabia yake hii kugeneralize ni mbaya sana ,je hamna wamachame mnaowafahamu wanaishi safi sana na waume zao mbona wakurya wanauwa kila siku hawawekewi ban au wanawake ndio wakuuwa tu wanaume hapana ,tubadilike,mtoa mada nikitangama kya nsire,inyamusi la kasa,liore kididima.
 
Ungekuwa wewe ungefanya nini?

Inaelekea tokea mwanzoni ulishampa ahadi maana m2 hawezi kukung'ang'ania bure.
 
nasikitika kukwambia na mchuma ako pia yupo ktk hali ambayo uko nayo wewe coz na yeye ameshakusaliti kama wewe ulivyomsaliti tena kwa njia hiyohiyo uliyotumia kumsaliti so tafuteni muda muongee jinsi ya kuwaacha hao ili muendelee na maisha yenu yaliyotawaliwa na tamaa zisizo na maana
 

tetetetete ndo ukomageeeh
 

yaani ma dearest nivea ngoja kwanza nimpe phase moja hapa huyu, nyi isembo la munu, litiraa mbee nta numa fo, kitangama kya munu nsire wa ndoo na mau.

binafsi nimeumizwa kuona mwanamke mwenzangu anajitoa kwa gumegume kama hili pasi kujua hatma yake. ila pia nirudi kwa mabinti jamani hebu muwege mnauliza lol miye mwanaume tu maandish kama haya yanatosha kunifanya nisimkonside yaani sms ya kwanza simuni yatosha kuniamba ni mtu wa aina gani? kama huyu wala simtaki. manake zaid ya usharobaro hana lolote tena ukiangalia kwa makini ni mtoto wa mama kula na kalala kwa wazazi halafu unajishughulisha kwenda mwana kwenda weye.......subiri hao wanao m8888 huyu msukuma watakapo kushkia chini.
 
ushapata ulichokitaka sasa unamtafutia sababu....

mweleze binti wa watu kuwa kipochi manyoya ushakula humuhitaji tena.... eti unamhisi "mkubwa" sana? kwa nini usingemhisi hivyo kabla ya kata funua?

na iwe funzo kwa vibibnti vinavyodhani mitandao ya kijamii ndo pakupatia wachumba.....
 
mi nakushauri mpige chini kwann alijirahisi hivyo akafikiri ndo tiketi ya ndoa mpige chini huyo hakufai kabisa bro komaa na demu wako wa mwanza kama haumfeel wala usijisumbue nae piga chini hahaha very funny "women always want to do many things with one man but man wants only 1 thing " chukua hatua haki elimu
 
kaka nishaur, wabongo mkoje jameni?

We ukoje? Muone vile nani kaka ako? Unadhani umefanya mazuri? UTALIPA hiyo Gharama ya maumivu unayompa huyo dada. Mi hata sikushauri kitu manake naona utoto tu unakusumbua....Wavulana wajanja na wanaume wajanja wanasoma kichwa na moyo wa binti kabla yakuamua kuchafua wewe....We unaona moyo wa binti unaongea NDO, NDOA NDOA halafu unapeleka hapo pua zako tu...wakati huna mpango naye?

Kajipange upya........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…