Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

kKenge wa kijani we, kenge maji mdogowe! Haya yote ni majina yako na yanreflect akili yako. Rudi FB watakupa majibu mazuri.
 
Kwani ulipokua wamtongoza uliomba wapi ushauri wewe?ulitumia busara na upumbavu wako endelea kuutumia hata sasa ungeomba ushauri kabla hujafanya yote hayo

kama umeweza msaliti demu wako wa mza unafikiri yeye atashindwa nini kukusaliti malipo ni hapa hapa
 
Back
Top Bottom