Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

25 yrs ur too young!!!!!!! kwa hiyo bado una mambo ya kitoto sana u dont know even what the meaning of lv.
hata huyo demu mwanza nae ni wakupita!, and what kind a man are you huwezi kutongoza mpaka kwenye mitandao? be a man kijana and muache kama ulivyowaacha au ulivyoachwa na waliopita............
 
Reactions: EGK
Mwombe tigo...
 
Dogo pole sana, kwa siri yako usimwambie mwingine lakini, nakupa siri nipo hapa mwanza natoka na mchumba wako coz kaniambia kuwa ana mchumba yupo mbali nae, kwa maelezo yako n wewe maana nae kasema ana miez 7 tokea mdo! shaka ondoa, endelea kukamua, nami nakusaidia kukamua uku, ila usimwambie mtu maana kanikataza kusema!
 
Aisee wewe kenge wa kijani maisha yako mumaji.hv unazani huyo binti yeye hana moyo?fikili kabla ya kutenda.na ngoja huyo msukuma wako ajue kuwa umemsaliti nyambafu wewe!!!!!
 
ushaenda naye si chini ya mara tatu ....nyambaaaaaaaaaaaafu nakutoa utumbo haki ya nani
yani ulimfatia nini kama unawako wa ubani tena na muunga mkono huyo dada kukupulizia huo unga wa miti kama anao na kama hana akausake fasta nyoooooooooo umenikeraje sasa ...ni lini mtaacha kuchezea watoto wawatu jamani..alafu wakati unamfata ukamuambia wewe ni single si ndio(kama ndio haki ya nani namshauri akutoe finyango)
 
mi huwa nawaambia nimeathirika alafu wananiaacha.
 
Truth will set you free bro. Mwambie unahitaji kufikiria juu ya haya yote. Unaweza kushangaa huyo ndio wako wa ukweli. Umzanie ndie sie bro. Unaweza kurudi mwanza unakuta mtu naye alikuwa kama wewe pia amebadilika. Kazi unayo
 
usicheze na moyo wa huyo dada na unavyosema anakupenda sana cku ukimuacha lazma unga wa miti ufanye kazi..,so ucshangae ki2 kikiacha kufunction.
 

Anza kupunguza ukaribu wa kimawasiliano na kingono taratibu mpaka atazoea alafu ndo umpotezee kabisa!!
 
yani kitu ulichokifanya ni kibaya yani sikufagilii kabisa huna adabuuuu kabisa
 
dah ataumia sana dada wa wa2 bt tell her the truth tho it hurts alot yan and stop playing wit feelings za watu emagine ingekuwa ni wewe
 

Tatizo mademu wa siku hizi wamekuwa ving'ang'anizi sana na hawajui kusoma alama za nyakati,Kama upendo upo au haupo hawajui siku hizi ili mradi ushamwmbia ni mzuri.
Kosa ulilolifanya kama haukuwa tayari kumwoa ni:
1.Kumpeleka nyumbani kwako na kumtambulisha ndugu zako hao ambao anawanunulia vizawadi
2.Hukumweleza wazi kuwa una mchumba
3'Inawezekana ulimwahidi utamwoa.

Cha kufanya mwambie wazi kuwa hauko tayari kumwoa,mtabaki kama marafiki tu, pia punguze muda wa kuonana na naye isiwe mara kwa mara ikiwezekana pia umwambie asije nyumbani kwako bila ya wewe kumwambia aje.Epuka kufanya naye tendo la ndoa bila ya kutumia kinga kwa sababu anaweza kukutegeshea ukampa mimba na maadamu nyumbani kwako na ndugu zako anawafahamu itakuwa vigumu kuikataa hiyo mimba.Huo ndi ushauri wangu pole sana nami yalishawahi kunitoke haya haya.
 
liwalo na liwe...tafakari hiyo kauli then chukua hatua
 
 
Last edited by a moderator:
Wewe fanya kumkamua tigo kila mkikutana mwambie mbele sipapendi.
 
saa zingine tunawachezea watoto wa kike na kuwauzi vibaya mpaka inafikia kipindi wanaona wote ni wa tumbo moja mpaka sasa hivi wanaimba ukimpata akupendaye mng'ang'ania, sasa amekung'ang'ania unataka kumkimbia.....not fare tunatesa, saa zingine tujiulize wat if dada yako anafanyiwa vile and vise versa?
mwambie tu am sory, it was a joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…