Kwani ulipokua wamtongoza uliomba wapi ushauri wewe?ulitumia busara na upumbavu wako endelea kuutumia hata sasa ungeomba ushauri kabla hujafanya yote hayo
kama umeweza msaliti demu wako wa mza unafikiri yeye atashindwa nini kukusaliti malipo ni hapa hapa